Codedwap

Picnic movie B

  • Uploaded on 30 Sep 2017

    Picnic ni sinema inayozungumzia maisha ya vijana waliokwenda Bagamoyo kustarehe kwa kutembelea magofu ya kaole, wanakumbana na mambo ya ajabu yanayosababisha matukio ya kutisha na kusikitisha. Imetungwa, imetayarishwa na kuandikwa script na HAJI DILUNGA, wahusika wakuu ni ANNA MICHAEL amecheza kama ROSE kwa sasa ni marehemu, MWAJUMA ABDUL amecheza kama DORA kwa sasa ni marehemu. OMARY MTOME amecheza kama JIMMY, FIDELS PETER amecheza kama JUTO, OBBI LUPINDO amecheza kama BEN, RAHMA NJAU amecheza kama NAOMI, JOHARI RAMADHANI amecheza kama SALAMA, NOELA BONIFACE amecheza kama NEEMA, ABDALLAH AUGOSSY amecheza kama MKUDE, AISHA CHANZI amecheza Kama DORA, DANNY KOMBA amecheza kama MGANGA, FATUMA MWINCHUMU amecheza kama Mke wa MGANGA. SALUM KARANDA alikuwa muongozaji msaidizi kwa sasa ni marehemu. MUNGU AWALAZE MAHALA PEMA PEPONI, WOTE WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI.AMINA

    Channel Swahili tv

Codedwap

TAGS:

Youtube Hatena . Webry . bd . Tripod . Addto . So-net . Gamer . Google+ . images . ucz . hawaii . nla . dot . bts . ed . dhs . weather